Wakaazi wa Kumukuru waandamana wakilalamikia mzozo wa ardhi ya kijamii

  • | Citizen TV
    448 views

    Shuguli za uchukuzi kwenye barabara kuu ya Magadi katika eneo la Kamukuru, Kaunti ya Kajiado zilisitishwa kwa zaidi ya SAA 12 baada ya wakazi kuandamana wakilalamikia mzozo wa ardhi ambao unazidi kutokota kwenye shamba la kijamii la Oldonyonyokie. Robert Masai na Mengi zaidi kutoka Kajiado.