16 Dec 2025 1:15 pm | Citizen TV 246 views Duration: 2:06 Wakazi kutoka vijiji kadhaa katika eneo bunge la Ndaragwa wamenufaika na huduma za umeme katika juhudi za kuimarisha utoaji wa stima katika eneo hilo.