Wakaazi wa Nyamage, Kisii walalamikia hali mbaya ya barabara

  • | Citizen TV
    579 views

    Wakaazi wa kijiji cha Nyamage kinachopakana na chuo kikuu cha Kisii, wamefunga barabara kuu eneo hilo wakilalamikia ubovu wake.wenyeji hao waliojawa na hasira wamepanda migomba ya ndizi barabarani wakitaka waziri wa barabara kipchumba murkomen kutatua hali hiyo.