- 344 viewsDuration: 2:55Wakaazi wa Kijiji cha Ondago katika eneo bunge la Karachuonyo wanasababu ya kutabasamu baada ya juhudi zao za kubadilisha kipande cha ardhi kilichokuwa kimejaa mafuriko na kuzalisha mpunga. Wakaazi hao wanaamini hatua hii itawasaidia kupata lishe na kuinua hali yao ya kiuchumi