Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi wa Rangwe wataka maafisa wa usalama kuimarisha usalama kuimarisha usalama eneo hilo

  • | NTV Video
    203 views
    Duration: 1:51
    Wakazi na wafanyabiashara wa Ndiru katika eneo la Rangwe kaunti ya Homa Bay wanawataka maafisa wa usalama kuimarisha usalama katika eneo hilo baada ya tukio moja la uvamizi kusababisha kifo cha mtu mmoja ndani ya miezi miwili iliyopita. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya