Wakaazi wa Taita Taveta waandamana kumsuta mbunge kwa kile wanachokitaja kuwa kutokuwa na imani naye

  • | Citizen TV
    3,716 views

    Wanaharakati na Wakaazi wa Taveta mpakani mwa Kenya na Tanzania kaunti ya Taita Taveta wanaendeleza maandamano ya amani wakimsuta mbunge wa Taveta John Okano Bwire kwa kile wanachokitaja kuwa kutokuwa na imani na afisi yake.