Wakaazi wafanya matembezi ya kuhamasisha umma Mombasa

  • | Citizen TV
    1,261 views

    Wakazi Zaidi Ya 2,000 Kutoka Pwani Walijumuika Katika Maadhimisho Ya Siku Ya Mazingira Kwa Kushiriki Matembezi Ya Kilomita 30 Katika Barbara Ya Dongo Kundu Jijini Mombasa.