Skip to main content
Skip to main content

Wakaazi walalamikia uchafu uliorundikana mji wa Kapkatet, Kericho

  • | Citizen TV
    406 views
    Duration: 1:48
    Wakazi wa kapkatet katika eneo bunge la bureti wametoa wito Kwa viongozi wa kaunti ya kericho kusafisha mitaro ya maji taka na kuzoa takataka ambazo zimetapakaa mjini na karibu na soko. Wakaazi wamekashifu baadhi ya viongozi wa kaunti akiwemo gavana na hata mwakilishi wadi wy kapkatet kwa kukosa kuwajibikia kazi yao ya kunadhifisha maeneo ya Kapkatet na bureti licha ya kukusanya ushuru kila siku. Gavana wa Kericho Dkt. Eric Mutai amelaumiwa kwa kutoa ahadi za kuendeleza maeneo ya kericho lakini ahadi hizo hazijatimia.