Wakaazi wanalalamikia unyakuzi wa ardhi eneo la Kalaule

  • | Citizen TV
    791 views

    Wenyeji wa kalaule Katika Kaunti ya Tana River, wamejikuta wakihangaika baada ya kile wanachodai kuwa ni unyakuzi wa ardhi waliyoirithi kutoka kwa mababu zao