Wakaazi wanaoishi mpakani mwa Isiolo na Meru waishi kwa hofu kutokana madai ya unyakuzi wa ardhi

  • | Citizen TV
    347 views

    Wakaazi Wa Kijiji Cha Gambela Kilichoko Mpakani Mwa Isiolo Na Meru Wanaishi Kwa Hofu Kutokana Na Kile Wanachokidai Kuwa Unyakuzi Wa Ardhi. Na Kama Anavyoarifu Nelter Juma Wakazi Wanadai Kuwa Wawekezaji Wa Kibinafsi Wanapania Kunyakua Ardhi Hiyo Wakisema Kwamba Stakabadhi Walizokuwa Nazo Zilibadilishwa Na Kuwanyima Umiliki Wa Shamba Hilo.