Wakaazi watakiwa kuchangia kwa hifadhi ya damu katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    75 views

    Kaunti ya Migori imeanza kampeni ya kuwahamasisha wananchi kuchangia damu ili kuhakikisha kaunti hiyo ina damu ya kutosha.