- 811 viewsDuration: 3:25Wakazi wa maeneo ya Kirima kaunti ya Kajiado wanalalamikia hali mbaya ya barabara inayotumika kuelekea katika milima ya Ngong, wakisema kuwa imekuwa changamoto kwa muda mrefu bila hatua zozote kuchukuliwa. Wakaazi hao walitataiza uchukuzi wa watalii katika eneo hilo.