Wakazi kando ya Mto Tana watakiwa kuhama kwani baadhi ya sehemu yanashuhudia mafuriko

  • | Citizen TV
    1,044 views

    Wakaazi kutoka kaunti ya Tana River haswa wanaopakana na Mto Tana wametakiwa kuhamia sehemu mbadala kwa muda baada ya baadhi ya sehemu za kaunti hiyo kushuhudia mafuriko. Wakizungumza katika shughuli ya kuzindua daraja linalounganisha vijiji vitatu vya Kipao, Golbante na Bura Karashi wakazi kuzingatia usalama wao wakati huu wa mvua za vuli