Jamii ya wafanyabiashara mjini Malindi, imehimizwa kuacha kutupaji takataka kiholela kwani kufanya hivyo kunaziba mifereji ya uondoaji maji taka. Watetezi wa mazingira katika eneo hilo walielezea kufadhaishwa na mirundiko ya taka mjini humo, walionya kwamba inaharibu mazingira na kuhatarisha afya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive