Wakazi Taita Taveta wanataka hati miliki za ardhi

  • | Citizen TV
    69 views

    Serikali ya kitaifa na ile ya kaunti ya Taita Taveta zimetakiwa kushuhulikia masuala tata ya ardhi hasa kwa kuhakikisha hati miliki zinatolewa kwa wakazi wa kaunti hiyo. Wakazi wa Majengo - Singila eneo bunge la Mwatate wakiishi kwa hofu baada ya kuahidiwa kwamba wangepata hati miliki miaka miwili iliyopita bila mafanikio hadi sasa.Julius Joho anaarifu zaidi.