Wakazi Thika mjini walalamikia njama ya kubomolewa

  • | Citizen TV
    1,066 views

    Wakazi wa maeneo ya Starehe, Ofafa Ziwani, UTI, na TUDC mjini Thika wamepinga mpango wa kubomoa nyumba zao ili kupisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu unaoendelezwa na serikali kuu katika maeneo mbalimbali nchini.