- 273 viewsDuration: 1:48Wakaazi wa eneo la Birini eneo la Chalani kaunti ya Kilifi wanaomba wadau wa serikali na wasio wa serikali kuwasaidia kutatua tatizo sugu la ukosefu wa maji ambalo limekumba kaunti ndogo ya Kaloleni kufuatia kiangazi cha muda mrefu.