Wakazi wa Emurua Dikir wanufaika na matibabu bila malipo

  • | KBC Video
    34 views

    Kampeni ya matibabu bila malipo iliandaliwa huko Emurua Dikir, katika kaunti ya Narok, ambapo zaidi ya watu 1,500 hasa wazee walipokea matibabu. Watu 300 wanaougua maradhi ya macho walifanyiwa upasuaji. Wakazi ambao aghalabu hukumbwa na changamoto za kupata huduma za afya walifurahia huduma hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive