Wakazi wa eneo la Cherangany, Kaunti Ndogo ya Trans Nzoia Mashariki, wamepinga vikali uteuzi wa machifu na manaibu wao uliofanyika hivi karibuni, wakidai kuwa mchakato huo umezinufaisha zaidi jamii kutoka kabila moja pekee.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya