Wakazi wa eneo la Marigat, Chemolingot na Loruk wahangaika

  • | Citizen TV
    63 views

    Wakazi wa eneo la Marigat, Chemolingot na Loruk wanaishi kwa hofu ya kuvamiwa na viboko na mamba baada ya maji ya ziwa baringo kujaa kupita kiasi na kumiminika barabarani.