Wakazi wa eneo la Nyamage wameandamana wakilalamikia barabara mbovu eneo hilo

  • | Citizen TV
    211 views

    Mamia ya wakazi wa eneo la Nyamage linalopakana na chuo kikuu cha Kisii wameandamana mapema leo wakilalamikia barabara mbovu