Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa eneo la Sirwa-Posta katika kaunti ya Nandi walalamikia hali mbaya ya barabara

  • | Citizen TV
    533 views
    Duration: 2:35
    Wakazi wa eneo la Sirwa-Posta katika kaunti ya Nandi wamefunga sehemu ya barabara ya Chavakali kwenda Kapsabet wakilalamikia hali mbaya ya barabara hiyo.