Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Githuuri huko Kiharu Murang'a wahangaika kwa uhaba wa maji

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 1:32
    Wakazi wa eneo la Githuuri katika Eneo Bunge la Kiharu, Kaunti ya Murang’a, wanaiomba serikali kuu kupitia Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyiziaji maji kuwaunganishia mifereji ya maji ili kuwawezesha kujihusisha na kilimo biashara. Wakazi hao wanasema kuwa licha ya kuwa karibu na Mto Sagana, ukosefu wa miundombinu ya unyunyiziaji maji mashamba umeacha maeneo makubwa ya ardhi yenye rutuba bila kutumika.