Wakazi wa Greenfarm Kamulu wasalia gizani baada ya Kenya Power kukata umeme

  • | NTV Video
    183 views

    Baadhi ya wakazi kutoka eneo la Greenfarm Kamulu wamesalia kwenye giza kwa muda wa siku sita sasa baada ya wafanyakazi kutoka kampuni ya Kenya Power, tawi la Ruai kukata nguzo za umeme pamoja na stima bila kuwahusisha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya