Wakazi wa Jumba Ruins huko Mtwapa wakadiria hasara

  • | Citizen TV
    315 views

    Wakazi wa Jumba Ruins wanakadiria hasara baada ya makazi yao kubomolewa usiku wa kuamkia leo. Kulingana na wakaazi hao maafisa wa polisi, vijana waliokodiwa walifika mwendo wa saa kumi na moja asubuhi na kubomoa makazi yao kwa matingatinga licha ya agizo kutoka kwa serikali la kutobomoa makazi hayo .