Wakazi wa Kagir Baringo Kusini walalamika hali mbaya ya usalama

  • | Citizen TV
    55 views

    Familia ya mwalimu aliyepigwa risasi na kuuawa na majambazi huko Kagir, Baringo kaskazini siku ya Jumamosi imepinga operesheni inayoendelea kwa madai kuwa haijafaulu kuleta amani eneo hilo.