Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kainuk kaunti ya Turkana waishi kwa hofu baada ya askari wa akiba kuuawa na bunduki kuibwa

  • | Citizen TV
    2,817 views
    Duration: 3:43
    Hali ya taharuki bado imetanda katika eneo la Kainuk mpakani mwa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana, baada ya askari wa akiba kuuliwa na bunduki yake kuibwa, huku mwanaume mwingine wa makamu kuuawa baada ya kufyatuliwa risasi mwisho wa juma lililopita. Na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,waliouawa walikuwa katika shughuli ya kuzoa mchanga kando kando ya mto Mali malite hapo Kainuk