Wakazi wa kaunti sita washiriki michezo hii Chemolingot

  • | Citizen TV
    102 views

    Eneo la North Rift kwa miongo kadhaa limekuwa likijulikana kwa matukio ya utovu wa usalama, lakini sasa wakaazi wa kaunti sita wameamua kuungana pamoja kuimarisha amani