2 Oct 2025 1:33 pm | Citizen TV 687 views Duration: 1:39 Wakazi wa mji wa Garissa na viungani mwake, wataendelea kushuhudia uhaba wa maji kwa wiki tatu zaidi kutokana na ujenzi wa daraja katika barabara kuu ya Garissa kuelekea Nairobi.