Wakazi wa kaunti ya Narok sasa wanamtaka rais Ruto kufanya marekebisho zaidi.

  • | Citizen TV
    531 views

    Wakazi wa kaunti ya Narok sasa wanamtaka rais Ruto kufanya marekebisho zaidi na kuhakikisha kuwa mawaziri wanaohusika na ufisadi wameshtakiwa na mali iliyoporwa imerejeshwa.