Wakazi wa kaunti ya Narok wetoa wito wa kuchunguzwa upya kwa bei ya nyumba za gharama nafuu

  • | KBC Video
    8 views

    Wakazi wa kaunti ya Narok wametoa wito wa kuchunguzwa upya kwa bei ya nyumba za gharama nafuu. Wakazi hao ambao waliwasilisha maoni yao wakati wa kikao cha umma kuhusu mswada wa nyumba za gharama nafuu, pia wanataka ardhi zao kulindwa wakati wa utekelezaji wa mradi huo. Shughuli sawa na hiyo iliandaliwa katika kaunti ya Embu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive