21 Jul 2026 11:09 am | Citizen TV 129 views Duration: 1:54 Wakazi wa kaunti ya Nyamira wahamasishwa kukumbatia hulka ya kuteka maji ya mvua, kama njia moja ya kukabiliana na ukosefu wa maji kutokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.