Wakazi wa Kericho walaumu afisa mwandamizi wa KFS

  • | K24 Video
    86 views

    Wanamazingira huko kericho wameghadhabishwa na kile wanachosema ni uharibifu wa miti katika msitu wa kericho mashariki na wanatuhumu uharibifu huo unatekelezwa na anayepawa kulinda misitu, afis, wakisema kuwa anayeongoza uharibifu ni meneja wa shirika la misitu KFS. Wanadai kuwa afisa mmoja wa shirika la misitu, KFS, Amekuwa akiongoza ukataji miti na uchomaji makaa pamoja na upasuaji mbao katika msitu huo.