24 Apr 2026 1:39 pm | Citizen TV 860 views Duration: 1:26 Wakazi wa kijiji cha Bula Masalani kaunti ya Garissa walifunga barabara ya kutoka mji wa Garissa kuelekea vijiji vingine kulalamikia hali mbaya ya barabara hiyo.