3 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 768 views Duration: 1:34 Wakazi wa Kijiji Cha Kapsuser eneo bunge la Belgut Kaunti ya Kericho waliandamana baada ya kukosa kupewa kibarua katika shamba la chai la browns plantations .