Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kisii na Taita Taveta wahamasishwa kutoa maoni kuhusu mpango wa kuuza hisa 15 za Safaricom

  • | Citizen TV
    326 views
    Duration: 2:57
    Wakazi wa kaunti za Kisii na Taita Taveta hii leo wamepata fursa ya kutoa maoni yao kuhusu mapendekezo ya serikali kuuza asilimia 15 ya hisa zake katika kampuni ya Safaricom. Katika vikao hivyo vilivyoongozwa na kamati ya Bunge ya Fedha na Mipango ya kitaifa, baadhi ya raia walieleza shauku kuhusu namna pesa zitakazopatikana zitatumika.