Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kisumu wapinga uuzaji wa hisa za Safaricom

  • | Citizen TV
    243 views
    Duration: 2:27
    Baadhi ya Wakazi wa Kisumu hii leo walipinga pendekezo la kuuza hisa za kampuni ya Safaricom, wakiitaka serikali kutafuta kampuni zingine ambazo hazipati faida na kuuza hisa zao. Aidha, walielezea wasiwasi wao na serikali, kuhusu jinsi fedha hizo zitatumika.