Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kwangindu kaunti ya Kitui waandamana

  • | Citizen TV
    274 views
    Duration: 1:38
    Wakazi wa Kijiji cha Kwangindu eneo bunge la Kitui ya kati wameandamana mpaka kwa afisi za mbunge wa eneo hilo kulalamikia ukosefu wa usalama uliokidhiri katika kijiji hicho. Wakazi hao wanadai kuwa Usalama umezorota baada ya naibu wa chifu aliyekuwa katika mstari wa mbele kukabiliana na wezi kusimamishwa kazi kwa madai yasiyoeleweka. Wakazi wanahofia usalama wao kwa ongezeko la wezi ambao wanavamia maboma yao usiku.