- 213 viewsDuration: 1:59Wakazi wa Lamu, wakishirikiana na mashirika ya kijami, wamefanya maandamano ya amani wakishinikiza serikali kueleza alipo Mohammed Obo, mwanamume mwenye umri wa miaka 41 aliyetekwa nyara majuma mawili yaliyopita eneo la kiunga.