Wakazi wa Lamu wataka EACC kuchunguza mradi barabara ya Lake Kenyatta-Uziwa

  • | Citizen TV
    990 views

    Tume ya kupambana na ufisadi EACC na Idara ya Upelelezi DCI zimetakiwa kuchunguza ujenzi wa barabara ya Lake Kenyatta hadi eneo la Uziwa yenye urefu wa mita 700 iliyogharimu takriban shllingi millioni 20 kujengwa eneo la Mpeketoni kaunti ya Lamu na baadaye kuharibika chini ya kipindi cha muda wa miezi sita.