Wakazi wa Lamu wataka uwekezaji kwenye miradi ya Bahari

  • | Citizen TV
    92 views

    Wito umetolewa kwa serikali kuekeza miradi mbalimbali ya bahari ikiwemo kilimo cha kaa,miradi ya mwani na matumbawe ili wakaazi wanaoishi Visiwani waweze kunufaika na raslimali ya bahari.wakaazi Visiwani wamekuwa wakitegemea tu kuvua samaki pekee huku asilimia zaidi ya 90 ya raslimali zinazopatikana baharini zikikosa kutumika.