Wakazi wa Luanda wameandaa mkutano wa kutafuta suluhu ya usalama duni eneo hilo

  • | West TV
    54 views
    Mbunge wa luanda Dick Maungu amemtaka waziri wa usalama wa ndani Prof. Kithure Kindiki kuongeza idadi ya maafisa wa polisi na kuwapa uhamisho waliohudumu eneo hilo kwa zaidi ya miaka mitatu ili kuimarisha usalama baada ya kushuhudiwa ongezeko la mauwaji ya wakazi na uhalifu