Skip to main content
Skip to main content

wakazi wa maeneo bunge ya Butula na Funyula kaunti ya Busia wanajikokota kusajili kura

  • | Citizen TV
    12 views
    Huku siku nne zikisalia za usajili wa wapiga kura, wakazi wa maeneo bunge ya Butula na Funyula kaunti ya Busia wanajikokota kushiriki katika shughuli hiyo, kaunti hiyo ikisajili asilimia 62 ya wapiga kura wapya kati ya waliolengwa kufikia sasa