14 Sep 2026 1:45 pm | Citizen TV 914 views Duration: 1:37 Wakazi wa Malindi wamehimizwa kutumia vyoo badala ya kujisaidia vichakani. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha usafi na kuboresha afya ya jamii.