Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Mambrui wazoa taka kutoka ufuoni mwa bahari

  • | Citizen TV
    219 views
    Duration: 1:36
    Idadi kubwa ya wakazi wa mambrui kaunti ya Kilifi wameshirikiana na wadau mbalimbali wa utalii kwenye zoezi la kusafisha ufuo wa bahari eneo hilo.