- 492 viewsDuration: 3:04Wakazi wa eneo la Matisi, kaunti ya Trans Nzoia, wamelalamikia ongezeko la ajali katika barabara kuu ya kuelekea mpaka wa Suam nchini Uganda, wakisema kuwa ndani ya kipindi cha chini ya miezi sita, zaidi ya watu 16 wamepoteza maisha yao kutokana na kugongwa na magari yenye mwendo wa kasi.