13 Feb 2026 2:12 pm | Citizen TV 175 views Duration: 1:08 Wakazi wa Matondoni kisiwani Lamu wameitaka serikali ya kaunti kuwatengea sehemu maalum ya kumwaga taka ili kupunguza uchafuzi wa fukwe za Bahari Hindi.