Wakazi wa Mida Creek, kaunti ya Kilifi wapata matumaini ya mazingira bora kwa upanzi wa mikoko zaidi

  • | Citizen TV
    425 views

    Upanzi wa mikoko kwa wingi eneo la Mida Creek kaunti ya Kilifi umewapa wakazi matumaini ya kuboresha mazingira yalioathirika kutokana na ukataji wa miti hiyo kiholela.