- 1,082 viewsDuration: 3:12Miji mingi nchini Kenya inakabiliwa na changamoto ya maji taka — tatizo linaloleta magonjwa na kuchafua mazingira. Lakini kwa wakazi wa Mikindani, kaunti ya Mombasa, suluhu imepatikana. Sasa, maji taka kutoka nyumba za watu zaidi ya elfu 40 yanasafishwa na kutumika mashambani, na kubadilisha taka kuwa rasilimali ya kijiji.