Wakazi wa mji wa Garissa pamoja na wafanyabiashara walalamikia utepetevu wa mwanakandarasi

  • | Citizen TV
    67 views

    Wakazi wa mji wa Garissa pamoja na wafanyabiashara wanalalamikia utepetevu wa mwanakandarasi mmoja aliyepewa kazi ya kupanua barabara kuu ya mji huo kwa kukosa kuzingatia maslahi ya afya na biashara zao.